GET /api/v0.1/hansard/entries/1208741/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1208741,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1208741/?format=api",
"text_counter": 516,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Gavana Kawira anapaswa kuheshimu watu wa Kaunti ya Meru. Ninakumbuka siku ambayo kulikuwa na sherehe kubwa ya Rais na naibu wake huko Kaunti ya Meru, nilisafiri kilomita 500 kuenda kushuhudia ziara ya Rais."
}