GET /api/v0.1/hansard/entries/1208869/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1208869,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1208869/?format=api",
    "text_counter": 69,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, hoja yangu ya nidhamu haihusiani na Sen. Methu. Hakukuwa na Spika kwenye hicho kiti dakika kama mbili zilizopita na hiyo imenishtua. Wakati Sen. Methu alipokuwa anaongea, ni kama hakuwa anaongea katika Seneti ya Jamhuri ya Kenya kwa sababu hicho kiti hakikuwa na Spika, kilikuwa kuwa wazi."
}