GET /api/v0.1/hansard/entries/1208912/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1208912,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1208912/?format=api",
    "text_counter": 112,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Ninachukua muda huu kumpongeza na kumkaribisha, Sen. Wakoli, na kumwambia ya kwamba kaunti ambayo yeye mwenyewe alichaguliwa kama Seneta, imekuwa na Seneta ambaye amebobea sana na ambaye alikuwa na uzoevu wa kazi yake katika Seneti hii. Ningependa kumwambia kwamba mimi nikiangalia na kupiga darubini, ninaona atakwenda mbali kwa sababu alichaguliwa kuwa mgombea wa chama cha FORD-Kenya ambacho kiko katika mrengo wa Kenya Kwanza na wakaweza kufanya vizuri sana."
}