GET /api/v0.1/hansard/entries/1208913/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1208913,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1208913/?format=api",
    "text_counter": 113,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Ningependa kumwambia Sen. Wakoli kwamba ukiangalia watu wote ambao wametoka katika Kaunti ya Bungoma, kama vile Seneta ambaye alikuwa hapa, Spika ambaye ni Governor huko na tena, Sen. Wetangula, ambaye amekuwa Spika, sina shaka rohoni ya kwamba hata wewe utakuwa Spika na sio spika peke yake; utaenda mbali. Kwa hivyo, tunakuombea mema na ni vizuri ujue ya kwamba viatu utakavyo vaa ni vikubwa kwa sababu Sen. Wetangula amebobea katika mijadala na uzoevu wa kazi yake. Lakini sina shaka rohoni. Vile ulivyoambiwa na Sen. Cherarkey, utafunzwa na"
}