GET /api/v0.1/hansard/entries/1208915/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1208915,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1208915/?format=api",
"text_counter": 115,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "kuelewa maneno. Sio magumu kwa sababu hakuna mtu ambaye alizaliwa akiwa anajua. Sisi sote tunasoma na tuna hakika ya kwamba hata wewe utafanya vyema na kuweza kuchunga mali ya kaunti yako kama vile Maseneta walioko hapa wanavyochunga na vile vile kupigania kaunti zao ili ziweze kupata pesa zaidi. Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii."
}