GET /api/v0.1/hansard/entries/1209044/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1209044,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209044/?format=api",
    "text_counter": 244,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa ya kuchangia ripoti hii. Kwanza, naipa kongole Kamati iliyo ongozwa na mpiganishaji mafahali. Wamefanya kazi mzuri na kuipa moyo Bunge la Seneti kuwa wanaeza kutenda haki kwenye yeyote atakafikishwa mbele yake."
}