GET /api/v0.1/hansard/entries/1209157/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1209157,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209157/?format=api",
"text_counter": 357,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kathuri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13590,
"legal_name": "Murungi Kathuri",
"slug": "murungi-kathuri"
},
"content": "Kwa sababu kesho na kesho kutwa tutakuwa tunaangaliwa Meru, baada ya kutoka Nairobi kwa wiki mbili, tunaeendelea namna gani pale Meru. Gavana, ninakuomba na watu wako tusijivune vile tumeshinda katika hili swala lililokuwa hapa. Tukitoka hapa, uwashauri watu wako wasiandike kwa mitandao vile kikundi chako kimeshinda wale wenzetu wa County Assembly . Wewe mwenyewe thibiti watu wako wale wanaotangaza maneno. Ninaongea kwa Kiswahili ili yule mama aliye kwa kijiji leo asikie."
}