GET /api/v0.1/hansard/entries/1209161/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1209161,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209161/?format=api",
    "text_counter": 361,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kathuri",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13590,
        "legal_name": "Murungi Kathuri",
        "slug": "murungi-kathuri"
    },
    "content": ", now it is an Act of Parliament na Meru tumeongezea bilioni moja na laki mbili; tumeileta Meru last month. Kwa hivyo tutakuunga mkono vile tutaweza ili tuweze kueendeleza Meru na taifa letu pamoja. Bw. Spika pia ninakushukuru. Ninashukuru ile Kamati iliyohusika na huu msakato kwa wiki mbili; siku kumi na ninasema kwamba tutaenda sana kwa sababu hizo siku mimi nimebeba mzigo wote wa Kaunti ya Meru. Nitaomba kama kuna maswala katika kaunti yoyote, Maseneta wenzangu muwe mkiyasuluhisha hayo maneno kabla yafike hapa. Mambo yakifika hapa yanakuwa mazito zaidi. Ninashukuru Bw. Spika; ninakuombea Mungu asaidie Kaunti yetu na tuweze kuendelea vizuri na tusirudi hapa tena, Mama yetu Governor. Asanteni sana na Mungu awabariki."
}