GET /api/v0.1/hansard/entries/1209257/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1209257,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209257/?format=api",
    "text_counter": 92,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante Bw. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii kumpongeza Seneta mteule, Sen. Wafula. Kwanza, ameweza kuregeshea hadhi chama cha Ford Kenya ambacho ni chama cha kutoka mwanzo katika vyama ambavyo vilipigania vyama vingi nchini Kenya."
}