GET /api/v0.1/hansard/entries/1209417/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1209417,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209417/?format=api",
    "text_counter": 252,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Hili swala la mtu kubanduliwa mamlakani, linafanya mtu kutosimama katika cheo chochote hata katika baraza la chifu. Hio ni silaha ya mwisho ambayo inaeza kutumika kumwondoa mtu mamlakani kwa maswala kama hayo. Unapobanduliwa mamlakani, naibu wa Gavana hafai kuchukua nafasi ile. Kwa mfano, naibu wa Gavana wa Meru hajui amuunge mkono Gavana wake au la---"
}