GET /api/v0.1/hansard/entries/1209486/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1209486,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209486/?format=api",
    "text_counter": 321,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika kwa hii fursa hii. Ninashukuru Kamati kwa kazi waliofanya na ninashukuru Bunge hili kwa kunipa fursa ya kuwa kwa hiyo Kamati. Tuliangalia ule Hoja ya kumwondoa Gavana wa Kaunti ya Meru kwa kina. Watu wamezungumza na kusema ya kwamba, labda tuangalie mambo kadha wa kadha katika ile sheria ya impeachment . Kwanza ni, je, gavana anahitajika kufanya kazi kwa muda gani kabla ya Hoja ya kumuondea iletwe. Mambo ya muda hayana shida kwa sababu hata siku ya kwanza, unaweza kufanya makosa ya jinai. Kwa hivyo, muda ambao unahitajika Gavana afanye kazi ili Hoja ya wa kumuondoa iletwe, hautakikani ubadilishwe. Hii ni kwa sababu hata siku ya kwanza ama ya pili, unaweza kufanya makosa yanayohitaji uondolewe. Bw. Spika, la pili, muda wa kuangalia Hoja ya kumuondoa gavana ni mchache mno. Tulifanya kazi usiku na mchana. Tunatakikana tuangalie ile sheria kwa sababu mapendekezo mengi ya ripoti za impeachment, yanaonyesha kwamba inatakikana muda uongezwe. Kwa hivyo, tutaangalia hiyo sheria ya 33 ya County Governments Act, ili ule muda uongezwe. Tatu, kumeingia chachu kule katika---"
}