GET /api/v0.1/hansard/entries/1209524/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1209524,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209524/?format=api",
    "text_counter": 359,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kathuri",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13590,
        "legal_name": "Murungi Kathuri",
        "slug": "murungi-kathuri"
    },
    "content": "Ninaomba uwaambie watulize boli tuungane. Mimi niko tayari na mlango wangu umefunguliwa ili tuweze kuungana na kuunganisha watu wetu. Unajua mimi kabisa nimejaribu katika hii process ndipo tukae pamoja; tukae na MCAs ili tuweze kwenda kwa safari moja. Wale wambao wanafikiria Kathuri ana mambo mengine, ninataka kuwaomba ya kwamba mambo ya uongozi kile kitu mtu atakuwa kesho na kesho kutwa, ni Mungu anajua. Mimi ninaserve serikali; ninaserve inchi yetu ya Kenya nikiwa Senator na kwa hivyo tufanye kazi pamoja. Wiki jana tumeuungana hapa na Maseneta tukapitisha sheria ile inaitwa"
}