GET /api/v0.1/hansard/entries/1209575/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1209575,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209575/?format=api",
    "text_counter": 45,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "uchaguzi ambao ulipiganiwa na watu lakini aliweza kushinda. Amekuja hapa na hilo ni jambo la kujivunia. Bw. Spika, ingekuwa vyema kama Maseneta wangepewa nafasi kumpatia kongole mmoja wao ambaye ameingia ndani ya hili Bunge la Seneti; upande ule wa walio wengi na upande huu wa walio wachache."
}