GET /api/v0.1/hansard/entries/1209585/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1209585,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209585/?format=api",
"text_counter": 55,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Seneta mgeni ambaye ameungana nasi amekuja kutetea Kaunti ya Elgeyo Marakwet pamoja na kaunti zingine zote za Jamhuri ya Kenya. Ni vizuri ajue ya kwamba Seneta aliyemtangulia, sasa ni Waziri Sen. Murkomen. Ni kiongozi aliyebobea sana katika hii Seneti na hata katika Jamhuri ya Kenya kwa kazi yake. Sen. Kisang, ninajua viatu utakavyovivaa ni vikubwa kidogo lakini najua utajisatiti kwa sababu wewe ni mchapa kazi. Ninamjua Seneta vizuri kwa sababu alipokuwa Mwenyekiti wa Kamati ya ICT katika Bunge la Taifa, mimi nilikuwa katika Kamati kama hiyo ya Bunge la Seneti. Kwa hivyo tulifanya kazi naye na nina hakika ya kwamba---"
}