GET /api/v0.1/hansard/entries/1209592/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1209592,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209592/?format=api",
    "text_counter": 62,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Kwanza ninataka kumpa kongole ya juu sana ndugu yetu Sen. Kisang Wiliam Kipkemoi. Amefanya juhudi ya kuwabwaga wale wengine ili kupata nafasi ya kuja hapa akiwa Seneta wa Elgeyo Marakwet. Hilo ni jukumu la watu wa Elgeyo Marakwet ambao wamekupatia na ni lazima uwafanyie kazi. Ninaona umeambatana na delegation kubwa sana. Hiyo ni kumaanisha ya kwamba wako na imani na wewe. Kitu ambacho ninaweza kukueleza ni kwamba ukiwa hapa kama Seneta ni lazima utaona ya kwamba vile tunavyojadiliana hapa, hili ni Bunge"
}