GET /api/v0.1/hansard/entries/1209594/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1209594,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209594/?format=api",
"text_counter": 64,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "ambalo liko na watu wenye akili na elimu ya juu. Wanaelewa wanayoyafanya; ni watu ambao wamekomaa. Ndungu yangu, Sen. Kisang, umekuja hapa kama Seneta na tunakuunga mkono. Tunakuombea kila la kheri ya kuwa uwafanyie watu wa Elgeyo Marakwet kazi kama Seneta wao. Ninakutakia kila la kheri katika utendakazi wako."
}