GET /api/v0.1/hansard/entries/1209633/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1209633,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209633/?format=api",
"text_counter": 103,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Asante, Bw. Spika. Kwanza naunga mkono mageuzi yanayotakiwa na Kamati ya Haki, Masuala ya Kisheria na Haki za Kibinadamu kuhusu Jopo la Uteuzi wa Makasmishna wa IEBC. Bw. Spika, vyama vya kisiasa vimepewa nafasi ya kuchagua mtu wake. Hili na jambo ambalo kama hatungelipata, pengine kungekuwa na upinzani mkubwa sama."
}