GET /api/v0.1/hansard/entries/1209673/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1209673,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209673/?format=api",
"text_counter": 143,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bw. Spika, je, ni sawa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Haki, Masuala ya Kisheria na Haki za Kibinadamu--- Ingekuwa bora kama angekuwa wa mwisho baada ya Maseneta wote kuzungumza. Amepewa nafasi ya kuzungumza. Endapo tena atapewa nafasi ya kuzungumza katika kikao cha alasiri, hilo halitakuwa jambo nzuri. Atakuwa na muda mrefu wa kutueleza vizuri wakati wa kipindi cha alasiri kwa nini anapendekeza mabadiliko haya. Kwa hivyo, ni vyema awape nafasi Maseneta wengine nafasi ya kuongea. Huo ndio utaratibu."
}