GET /api/v0.1/hansard/entries/1209895/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1209895,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209895/?format=api",
    "text_counter": 87,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Mwenyekiti wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia mapendekezo ya mabidiliko ya Sen. Mumma. Mapendekezo ya Sen. Mumma yanatilia maanani sehemu zote ambazo ni muhimu katika mchakato huu wa kuchagua makamishna wapya ambao watahudumia jopo la IEBC. Tukiangalia, amependekeza apatikane mke na mume katika maswala ya uwakilishaji katika watu ambao watachaguliwa na Parliamentary Service Commission(PSC) . Vile vile wale ambao wamebakia katika mchakato huo ni kwamba wote watawakilisha wale ambao wanahusika katika mambo hayo. Naona mapendekezo yaliyopandishwa yame---"
}