GET /api/v0.1/hansard/entries/1209899/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1209899,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209899/?format=api",
"text_counter": 91,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Sen. Veronica Maina. Pia, karibu na haircut mpya mwaka huu. Bw. Mwenyekiti wa Muda, jopo ambalo limependekezwa litaweza kufanya kazi hii kwa njia nzuri zaidi kuliko lile ambalo lilikuwa limpendekezwa mwanzo katika Mswada ambao ulipita katika Bunge la Kitaifa."
}