GET /api/v0.1/hansard/entries/1209979/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1209979,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209979/?format=api",
"text_counter": 171,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Iwapo Bunge hili la Seneti litawapiga mgongo ama kuwakata miguu, itakuwa tunawaambia Wakenya tume hiyo haina haki ya kufanya kazi kikatiba jinsi ilivyokuwa inafanya. Mimi ninapinga mabadiliko hayo nikisema kwamba Mswada huu uendelee kama ulivyotoka katika Bunge la Kitaifa, ili tuwakikishe kwamba tunafiki malengo ya kidemokrasia na ya Serikali kuhakikisha kwamba kura zinapopigwa, zinawajibika, kueleweka na matokeo yanawafurahisha Wakenya wote. Kwa hayo, ninapinga mabadiliko haya na tuende pamoja kama Bunge la Seneti."
}