GET /api/v0.1/hansard/entries/1209997/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1209997,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1209997/?format=api",
    "text_counter": 189,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Mwenyekiti wa Muda, Sen. (Dr.) Oburu Odinga amesema kuwa Mswada huu ukipitishwa ulivyo, tutakuwa na maandamano mara kwa mara. Kutoka tupate uhuru, kila baada ya miaka tano, huwa kuna maandamano. Tumezoea maandamano. Kwa hivyo, hakuna wakati walio wachache watakubali matokeo ya uchaguzi hata wakishindwa. Kwa hivyo, naomba tupitishe Mswada huu vile ulivyo."
}