GET /api/v0.1/hansard/entries/1210015/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1210015,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210015/?format=api",
"text_counter": 207,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Mwenyekiti wa Muda, ninataka unitete. Unaona Kiongozi wa Walio Wengi katika Bunge la Seneti yuko katika mstari wa mbele kufanya vile. Unaona anaongea. Hata mimi niko na ujuzi huo. Naweza kutumia nafasi hiyo kumfanyia fujo mpaka ashindwe kuongea."
}