GET /api/v0.1/hansard/entries/1210042/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1210042,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210042/?format=api",
"text_counter": 234,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Sifuna",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13599,
"legal_name": "Sifuna Edwin Watenya",
"slug": "sifuna-edwin-watenya"
},
"content": "Bw. Mwenyekiti wa Muda, ni jambo la kustaajabisha sana. Sijui nisemeje wakati ambapo Mwenyekiti wa Muda anasema uongo ulio wazi kwa sababu sisi wote tuna macho. Tunaweza kuomba wanaosimamia teknolojia katika Seneti waonyeshe picha ambazo tumeona kutoka kwenye chumba cha kulala cha yule Seneta. Hakuwa amevaa korti lenye kola. Lazima sheria zitumike kwa kila mtu kisawa na tusiambiwe uongo wa wazi."
}