GET /api/v0.1/hansard/entries/1210043/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1210043,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210043/?format=api",
"text_counter": 235,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Cheruiyot",
"speaker_title": "The Senate Majority Leader",
"speaker": {
"id": 13165,
"legal_name": "Aaron Kipkirui Cheruiyot",
"slug": "aaron-cheruiyot"
},
"content": " Hoja ya nidhamu, Bw. Mwenyekiti wa Muda. Kabla turejelee mjadala huu, ni lazima Seneta wa Nairobi aondoe matamshi aliyosema kuhusu wewe kama kiongozi wa Seneti. Anafaa kuomba msamaha na kuondoa matamshi aliyosema kwenye nukuu za kile kinachoendelea katika Seneti."
}