GET /api/v0.1/hansard/entries/1210045/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1210045,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210045/?format=api",
"text_counter": 237,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Cheruiyot",
"speaker_title": "The Senate Majority Leader",
"speaker": {
"id": 13165,
"legal_name": "Aaron Kipkirui Cheruiyot",
"slug": "aaron-cheruiyot"
},
"content": "Tukirejelea mjadala, Bw. Mwenyekiti wa Muda, tayari umeshatoa mwelekeo kuhusu jambo hili. Tukumbuke kwamba mara ya kwanza, Sen. Osotsi alileta Hoja ya kutaka kutupilia mbali kikao hiki hadi kesho. Kile wanachojaribu kufanya ni kupoteza muda ili ifike 6.30 p.m. kisha twende nyumbani. Tafadhali wacha kuwaruhusu kupoteza muda. Mwenyekiti akishatoa mwelekeo, hatuwezi kuanza tena kujadili na kubishana."
}