GET /api/v0.1/hansard/entries/1210046/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1210046,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210046/?format=api",
    "text_counter": 238,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Abdul Haji",
    "speaker_title": "The Temporary Chairperson",
    "speaker": null,
    "content": " Asante, Seneta. Sen. Sifuna, ningependa uombe msamaha kwa sababu mwelekeo ninaotoa hapa si wangu. Kuna watu wawili kando yangu ambao wananisaidia kwa maamuzi ninayofanya hapa. Huu si uamuzi wangu binafsi. Tafadhali omba msamaha."
}