GET /api/v0.1/hansard/entries/1210049/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1210049,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210049/?format=api",
"text_counter": 241,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Abdul Haji",
"speaker_title": "The Temporary Chairperson",
"speaker": null,
"content": " Seneta, mtu akikuambia uongo, unamwita muongo. Kwa hivyo umeniita muongo kutokana na maoni yangu. Nilivyokueleza, hayo si maoni yangu. Nikiwa hapa, ninapata usaidizi kutoka kwa wafanyakazi wa Seneti. Kwa hivyo, naomba uombe msamaha."
}