GET /api/v0.1/hansard/entries/1210072/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1210072,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210072/?format=api",
    "text_counter": 264,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Mwenyekiti wa Muda, tutaonekana kama tunafanya mzaha ikiwa tutanukuu ukiitwa mwongo, na baada ya wewe kusema vile, anarudia kuwaita wale wanaokushauri hapo waongo. Hilo si jambo nzuri. Ni vizuri aombe msamaha ndio tuonekana tunaheshimu Kanuni tulizozitunga sisi wenyewe."
}