GET /api/v0.1/hansard/entries/1210309/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1210309,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210309/?format=api",
    "text_counter": 88,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Bw. Spika, hoja yangu ya nidhamu ni kwamba kuambatana na sheria za hapa ndani yaani Standing Orders zetu na pia zile sheria ambazo ni za Spika, tunatambua ya kwamba ni lazima mtu awe amevaa kisawasawa. Hatuwezi kuingilia katika maisha ya mtu vile anavyotaka kuvaa, lakini hapa Seneti---"
}