GET /api/v0.1/hansard/entries/1210321/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1210321,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210321/?format=api",
"text_counter": 100,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bw. Spika, Kiswahili safi ni kwamba, mwanamke akiwa vile, huwa anamwaga damu na hatakikani hata kidogo kuonyesha umati wa watu ama ndugu zangu hawa wanaume wako na wake zao na madada zao wa heshima. Saa hizi, mke wa (Dr.) Khalwale, anatutazama na anaona vile mheshimiwa ameingia hapa akiwa anavuja damu kutoka sehemu zake za siri. Je, hii ni haki ndani ya Bunge hili la Seneti?"
}