GET /api/v0.1/hansard/entries/1210406/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1210406,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210406/?format=api",
    "text_counter": 185,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Tafadhali, Seneta kiongozi mwenzangu, siwezi kujibizana nawe ukiwa umepewa nafasi kuongea. Nitanyamaza mpaka wakati wangu ufike. Bw. Spika, kwa hisani yako, na ninajua sheria inauma pande zote mbili, kwanza, yule amefanya makosa makubwa. Alipojibizana nawe mara ya kwanza, ulifaa kumtolea kadi nyekundu na kuamuru aende nje. Inaonekana kwamba umelemea upande huu na kupendelea upande ule mwingine. Aliyeanzisha fujo ni Seneta wa Embu. Hata Wakenya wote wameona. Nakuomba, Bw. Spika, adhabu uliyotoa kwa upande wa walio wachache inafaa kutolewa pia kwa upande wa walio wengi. Asante sana."
}