GET /api/v0.1/hansard/entries/1210473/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1210473,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210473/?format=api",
    "text_counter": 252,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika singependa kumtatiza ndugu yangu Sen. Madzayo, lakini msemo ambao ameutumia haufai kutumika hapo. Hawezi kusema hasira ya mkizi furaha ya mvuvi. Yaani hasira za Sen. Sifuna ilikua ni furaha kwa Spika. Haiwezekani kuwa hivyo."
}