GET /api/v0.1/hansard/entries/1210483/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1210483,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210483/?format=api",
    "text_counter": 262,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "tuko, tukitia bidii. Tulienda induction ama kufunzwa na kupata taaluma za juu zaidi ili tukija hapa, tuchape kazi vyema. Ndugu yangu Sen. Cherargei ana taaluma ya juu, ili hawa wengine wawe na taaluma kama Sen. Cherargei, lazima tuelimishane. Hii kamati italeta mambo mazuri ndani ya Bunge la Seneti. Sisi tunatakikana kuiga mfano mwema. Mifano ya kusikitisha ni ile tumefanya leo ambayo Bw. Spika ametoa uamuzi wake na tumekubaliana. Nidhamu ni kitu muhimu. Sisi kama maseneta katika ‘nyumba ya juu’, nataka tubaki hapo juu kuliko Bunge la Taifa."
}