GET /api/v0.1/hansard/entries/1210484/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1210484,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210484/?format=api",
"text_counter": 263,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Nakumbuka ule muhula wa kwanza ambao tulikuwa na wale wengine ambao walikua maseneta pia. Kulikua na ndugu zangu Sen. (Dr.) Khalwale na Sen. Cheruiyot. Seneti hilo lilikuwa la hali ya juu sana na liliheshimiwa Kenya nzima. Sisi pia twaweza kuwa hivyo na tukaheshimika. Ukiangalia hapa alipoketi ndugu yangu Sen. (Dr.) Khalwale, GG Kariuki alikua anaketi pale."
}