GET /api/v0.1/hansard/entries/1210486/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1210486,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210486/?format=api",
"text_counter": 265,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika ukiangalia kwa upande mwingine tulipoanza, tulikuwa katika garage ingine ya Kenya International Convention Centre (KICC), mahali pengine kama tundu. Ilikuwa hatuwezi kuketi mahali kama hapa. Lakini kwa nguvu na juhudu ya wale waliokuweko tumefika hapa. Ni jambo la kujivunia kama Senate ."
}