GET /api/v0.1/hansard/entries/1210806/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1210806,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210806/?format=api",
"text_counter": 200,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Olekina",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 407,
"legal_name": "Ledama Olekina",
"slug": "ledama-olekina"
},
"content": "Bw. Spika, hata mimi nitajaribu kunena kwa Kiswahili. Ninasimama kulingana na Kanuni ya Kudumu ya Kwanza, ambayo inasema kwamba Bw. Spika atatoa mwelekeo katika jambo ambalo halijazingatiwa katika Kanuni za Kudumu. Sijui iwapo nimeharibu Kiswahili ama nimeongea vizuri. Langu ni kwamba, tunapotazama hizi Kanuni za Kudumu ili tuwe na mwelekeo mzuri, ningekusihi kwa heshima kubwa utupatie tarehe kwa sababu ya jambo moja."
}