GET /api/v0.1/hansard/entries/1210816/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1210816,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210816/?format=api",
    "text_counter": 210,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sifuna",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13599,
        "legal_name": "Sifuna Edwin Watenya",
        "slug": "sifuna-edwin-watenya"
    },
    "content": "Ninaomba uamuzi wako. Je, jinsi ambavyo Seneta wa Kaunti ya Garissa amezungumzia maswala ambayo yanaambatana na mimi mwenyewe kama Katibu Mkuu wa chama, nitapata fursa gani? Ni baada ama kabla ya uamuzi ambao unapania kutoa kuhusu swala nzima?"
}