GET /api/v0.1/hansard/entries/1210817/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1210817,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210817/?format=api",
"text_counter": 211,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kingi",
"speaker_title": "The Speaker",
"speaker": null,
"content": " Tafadhali Waheshimiwa Maseneta, ninafikiri tumeijadili hii mada. Nimezungumza na nikawaambia tutakavyoendelea. Sen. Sifuna, ninataka nikuambie sasa, wakati ninafanya uamuzi, jina lako halitakuwa katika uamuzi huo. Kwa hivyo, usiwe na shaka, kwa sababu katika maamuzi yangu, sitataja majina ya Maseneta."
}