GET /api/v0.1/hansard/entries/1210819/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1210819,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210819/?format=api",
    "text_counter": 213,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kingi",
    "speaker_title": "The Speaker",
    "speaker": null,
    "content": "Uamuzi wangu utaambatana na sheria na Kanuni za Kudumu za Bunge. Usiwe na shaka kwamba pengine katika uamuzi wangu nitakutaja na niamurishe kwamba uchukuliwe hatua za kinidhamu au ushtakiwe. Hilo halitafanyika, usiwe na wasiwasi. Nikifanya uamuzi wangu, yale yote yamezungumzwa hayataguzwa. Uamuzi wangu utaongozwa na Kanuni za Kudumu za Seneti na sheria zinazoongoza taifa letu la Kenya."
}