GET /api/v0.1/hansard/entries/1210842/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1210842,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1210842/?format=api",
"text_counter": 236,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Githuku",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13595,
"legal_name": "Kamau Joseph Githuku",
"slug": "kamau-joseph-githuku"
},
"content": "Asante sana Bw. Spika. Nakushukuru sana kwa muongozo huo. Mimi kama mwanachama wa Jubilee, nafahamu kwamba wakenya wamechoka. Hatutaki maandamano. Umetoa uamuzi na tunafaa turejelee shughuli zetu kwenye Ratiba. Maseneta wameanza kutoka nje badala ya kuendelea na kazi tunayofaa kufanya."
}