GET /api/v0.1/hansard/entries/1211164/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1211164,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1211164/?format=api",
"text_counter": 161,
"type": "speech",
"speaker_name": "Migori County, Independent",
"speaker_title": "Hon. Fatuma Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Tunapata nafasi ya kuongea na kurudia yale ambayo tunataka kusikia kutoka kwa mkubwa aliyeitwa kuliko kumleta hapa na kumuangalia tu bila kumuuliza maswali. Na Wabunge wengine ambao sio wanakamati wanasema kuwa hawapati nafasi ya kuuliza maswali lakini wamekubaliwa kuingia katika kamati hata kama si wanakamati ili waulize maswali ambayo wanataka wajulishwe kibinafsi. Basi kuna muda wa kutosha, Mbunge aje pale aulize maswali badala ya kuleta mawaziri hapa na kuharibu muda ili irekodiwe kuwa alikuja na kuulizwa maswali. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}