GET /api/v0.1/hansard/entries/1211166/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1211166,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1211166/?format=api",
    "text_counter": 163,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker (",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Hon. Peter Kaluma): Umechangia Memorandum hii kwa ufasaha na uweledi bila kutambua eneo unalotoka. Ungeomba, ningekuongeza muda. Nampa nafasi hii ndugu Mheshimiwa wa Eneo Bunge la Emurua Dikirr, Mwanasheria Johana Ng’eno aendelee kuchangia kwa lugha hii ya kitaifa."
}