GET /api/v0.1/hansard/entries/1211167/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1211167,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1211167/?format=api",
"text_counter": 164,
"type": "speech",
"speaker_name": "Emurua Dikirr, UDA",
"speaker_title": "Hon. Johana Kipyegon",
"speaker": null,
"content": " Ningependa kukushukuru, Bwana Spika wa Muda. Hii lugha ya Kiswahili sijui ilitokea msitu upi ikaingia hapa Kenya. Tunasema lugha ya Kiingereza ilikuja kwa meli lakini sijui hii ilikuja kwa farasi au mguu ikatupata hapa. Hata hivyo, wacha nijaribu kuchangia kwa lugha hii. Nashukuru kwa nafasi hii. Pia, nakushukuru kwa"
}