GET /api/v0.1/hansard/entries/1211171/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1211171,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1211171/?format=api",
    "text_counter": 168,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Emurua Dikirr, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Johana Kipyegon",
    "speaker": null,
    "content": "Hizi pesa zinasaidia Kenya na magavana kwa sababu kuna vitu ambavyo hawawezi kufanya kwa sababu ya ulaghai wao. Wajumbe wanawasaidia. Hata wakifika hapo, wanapata barabara na shule zimejengwa. Kama hizi pesa hazingekuwa, magavana wangekuwa na shida nyingi sana."
}