GET /api/v0.1/hansard/entries/1211491/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1211491,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1211491/?format=api",
    "text_counter": 201,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Nashukuru kwa mjadala wa leo hasa kuhusu suala la thuluthi tatu ya akina mama. Pia nampongeza sana Mbunge wa Mandera Kusini kwa kulipigia pondo sana suala hili kwa maana leo ni akina mama, kesho mtalia nyinyi wanaume. Kwa hivyo, lazima tuafikiane ili tuweze kuupitisha mswada huu. Ningependa pia kuchangia mjadala wa leo kwanza kuhusu NGAAF. Ningependa kuanza na NGAAF kwa sababu mimi ni mwakilishi wa akina mama. Ni muhimu tuwe na NG- CDF na Mgao wa Ziada wa Uangalizi ambao unafahamika kama Senate Oversight Fund . Kuhusu huo mgao wa Senate Oversight Fund, mimi ningependa kuuliza kwa nini tuseme"
}