GET /api/v0.1/hansard/entries/1211935/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1211935,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1211935/?format=api",
    "text_counter": 18,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika, kwa heshima na taadhima, jana, tulikuwa hapa na pia wewe ulikuwa hapa. Uliweza kusikia ya kwamba kuna Ujumbe ambao utawasilishwa ndani ya Bunge la Seneti kuhusiana na upande wa Upinzani na ile ratiba walikuwa wamekuletea ya megeuzi ya uongozi ndani ya Seneti inayohusika na upande---."
}