GET /api/v0.1/hansard/entries/1211941/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1211941,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1211941/?format=api",
    "text_counter": 24,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika, ndio nawakilisha sasa lakini nimeona ukiongea na nikaona masikio yako hayanisikizi vizuri ndio sababu ninaleta hii hoja. Bw. Naibu Spika, nikiwa naongea na wewe, ningependelea Kiongozi wa Walio Wengi anyamaze. Angoje niongee nimalize na yeye aweze kuongea kulingana na Kanuni za Kudumu za Bunge la Seneti."
}