GET /api/v0.1/hansard/entries/1212811/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1212811,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1212811/?format=api",
    "text_counter": 163,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Kwanza nataka kumweleza Kiongozi wa Walio Wachache kwamba “mhini na mhiniwa njia yao ni moja”. Nimeketi na kusikiza kwa makini na jambo linalonavutia pande zote mbili ni amri ya mahakama. Mahakama ikitoa amri yake, ni vizuri sisi sote tuiheshimu na kuifuata. Tukiwa watu wasiofuata na kuheshimu amri ya korti ambayo imetolewa vizuri---"
}