GET /api/v0.1/hansard/entries/1212813/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1212813,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1212813/?format=api",
    "text_counter": 165,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Hawa wote ni mawakili waliosema; Sen. Omogeni, Senior Counsel na Kiongozi wa Walio Wachahce wapo pale vile vile. Ni lipi hili ambalo ni zito zaidi linalofanya waende mahakamani na kutoa ushahidi badala ya kuja hapa na kuongea. Kulingana na kanuni zetu za Seneti Spika hana macho wala masikio."
}